SIRI LYRICS-RAYVANNY FT NIKK WA PILI
[Verse 1 : Rayvanny] Hhhmm Nimeanza safari ya penzi na wewe usiikatishe (eeeh) Mungu mwema baba Mbali atufikishe (eeeh) Mi binadamu nakosea nikiteleza usiuzunike (eeeh) Milele Mwanadada Nikifa Unizike Kutoka kwenye Uvungu Wa Moyo Wangu Natamka niwewee Taswira pekee kwenye ndoto zangu mama Mfariji pekee nikimwaga chozi langu mama (Niweweee) Imenishinda siri Kifuani Mwangu (Aaaah aaah) Nikupeleke Nyumbani kwetu Sheri eeeh Ukawajue Na Ndugu zangu mama aaah Unipeleke Nyumbani kwenu Bibi weweee Nikawaone shemeji zangu mamaaa aaah Siri Yanini (Siri) Nini Maaana Yake oooh (Siri) Siri ya niiini (Siri) Nini hasara zake (Siri) Siri oooh siri Mapenzi ya siri iiiiiiih [Pre Chorus : Rayvanny] Ooooh Mama lolooooh..! Ooooh Mama lolooooh..! Ooooh Mama lolooooh..! [Verse 2 : Nikk Wa Pili] Eeh Mama Nipe Utamu kabla Ujatamka Usingizi Si come Mpaka tukiamka Ni series Kakonko twende kamara kibirizi Mapaja Yake utamu Michirizi Michepuko imenuna Imezila siri siri Na wee ni kachumbali Mayonnaise Pili pil...